MWAKA unapomalizika tahadhari za kiafya ni muhimu kuzizingatia na kufahamu cha kufanya ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali mojawapo ni tatizo la sasa la afya ya akili. Wapo wengi wenye changamoto ...
KILICHOTOKEA katika siku hizi za karibuni kinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mitazamo na fikra za wachezaji wetu. Na hivi ndivyo hapa kijiweni tunapenda kuona kwamba wachezaji wawe ...
Dodoma. Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma itafanya upekuzi wa afya ya akili (psychonomic test) kwa waajiriwa wapya, lengo likiwa ni kuhakikisha wanaoingia katika ajira mpya ...
TULISIKIA na kuyasoma mengi kuhusu winga Ellie Mpanzu hasa kuhusu sifa zake pindi awapo uwanjani wakati huo akiichezea AS Vita Club ya DR Congo hasa uwezo wake wa kupiga pasi za mwisho na kufunga ...