Lakini hata baada ya Kenya kupata uhuru kutoka kwa utawala wa ... nyuma ya meza ya Paul Muite katika ofisi yake katika mtaa wa Kilimani. Yeye huvaa wigi pia wakati akifika mahakamani.
Miaka miwili tu baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya uliowaingiza madarakani Rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua, yaonekana kipindi cha fungate kimefika tamati. Wiki za hivi karibuni ...