UKIHISI usajili uliofanywa na KenGold kumnasa winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kuwa ni jambo la kushangaza basi wewe amua tu kuachana na soka la Bongo. Hakuna aliyeshangaa hapa ...
MWAKA unapomalizika tahadhari za kiafya ni muhimu kuzizingatia na kufahamu cha kufanya ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali mojawapo ni tatizo la sasa la afya ya akili. Wapo wengi wenye changamoto ...
MECHI za hatua ya makundi za mashindano ya klabu Afrika zinahitaji kuzicheza kwa akili na hesabu kubwa kwa sababu zimekaa kimtego sana hivyo zinatakiwa kuendewa kwa adabu. Na kwa tathmini tuliyoifanya ...
Dodoma. Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma itafanya upekuzi wa afya ya akili (psychonomic test) kwa waajiriwa wapya, lengo likiwa ni kuhakikisha wanaoingia katika ajira mpya ...
Kilichotokea katika siku hizi za karibuni kinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mitazamo na fikra za wachezaji wetu. Na hivi ndivyo hapa kijiweni tunapenda kuona kwamba wachezaji wawe ...