Bunge la Kenya limeshindwa kupitisha muswada wa usawa wa kijinsia ambao ulikua unapania ... Hii ni mara ya nne muswada huo umeshindwa kupitishwa bungeni kutokana na idadi ndogo ya wabunge.
Nchini Rwanda swala la usawa wa kijinsia Bungeni lilianzishwa mwaka 2003. Hatua hiyo ilitoka baada ya kuharibiwa kwa taasisi za serikali wakati wa mauaji ya kimbari yalitokea nchini humo mwaka 1994.