Lakini wengi huko Goma bado masikio yao yako wazi na wanaangalia volkano iliko ili kuona ikiwa kuna shughuli yoyote. Lakini athari ya amri ya uokoaji ya mamlaka imegawanyika. Wengine, haswa wale ...
Ibikorwa byambukiranya umupaka hagati y’imijyi ya Gisenyi mu Rwanda na Goma muri DR Congo byahagaritswe n’imyigaragambyo y’abaturage ku ruhande rwa Goma bigaragambirije ku mupaka.
Mapigano mapya yamezuka hapo jana kati ya vikosi vya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 katika mji wa Sake unaopatikana takriban kilometa 20 magharibi mwa mji wa Goma.
Tangu M23 kuchukuwa udhibiti wa mji wa Saké na kukaribia uwanja wa vita wa Goma mwanzoni mwa mwaka, angalau mara tano, mabomu na roketi vimerushwa kuelekea kambi za wakimbizi wa ndani au maeneo ...