Taifa la Tanzania limetajwa kuwa kivutio kizuri cha safari za watalii barani Afrika kulingana na mtandao wa SafaricBookings.com ambao ndio mtandao mkubwa wa ukuzaji wa safari za Afrika.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania 55 kulipa faini ya Sh40,000 au kwenda jela miezi sita kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka ndani ya Tanzania na ...