Maelezo ya sauti, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Misingi ya Muungano pekee ulio hai barani Afrika 26 Aprili 2022 Tanzania hii leo inaadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Waziri wa maswala ya kigeni wa Uturuki ameushtumu Muungano wa Ulaya kwamba unaidhalilisha nchi yake. Akizungumza na gazeti la Ujerumani , Bild, Mevlut Cavusoglu amesema badala ya kuisaidia Uturuki ...
Mkuu wa mpya wa muungano wa NATO, Mark Rutte amezuru nchi ya Ukraine, ziara inayotajwa kuwa ishara ya mshikamano na Kyiv wakati huu ikiendelea na mapambano yake dhidi ya uvamizi wa Urusi.
Nchini Ufaransa, Muungano wa Vyama vya Kiraia wa Rwanda unatangaza kwamba umekata rufaa ya kufutwa kwa kesi iliyotolewa na mahakama. Kwamujibu wa muungano huo, uchunguzi uliopelekea uamuzi huu ...
Korea Kaskazini inasema imefanya mapitio madogo katika katiba yake, ingawa bado haifahamiki ikiwa mabadiliko hayo yanajumuisha kuitambua Korea Kusini kama “taifa ambalo ni adui wa kwanza ...
Viongozi wa Muungano wa wafanyakazi na katibu wa Muungano wa wafanyakazi nchini Kenya Cotu Francis Atwoli.