Maelezo ya sauti, Nini maana ya ugonjwa wa Sonona? Nini maana ya ugonjwa wa Sonona, vyanzo vyake ni vipi na ni jinsi gani wananchi wanaweza kujikinga na ugonjwa huo ...
Angalia orodha ya misemo na uangalie maana na matamshi sahihi ya kila neno au misemo. Ukiona umeshajifunza unaweza kupima uelewa wako kwa kujibu jaribio la msamiati.
Kwa maana nyingine, katika teuzi hizi za kwanza za mawaziri na wakuu wa mikoa, Rais mpya bado anaendelea kutoa nafasi kwa wale waliopewa vyeo na mtangulizi wake. Inaweza pia kumaanisha kwamba bado ...