Rais wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta alifungua ukurasa wa malumbano na makamu wa rais wa kwanza wa nchi hiyo Jaramogi Oginga. Hilo limekuwa suala ambalo limejirudia katika tawala zilizofuata ...
Mnamo 2008, Mahakama Kuu ya Kenya iliamuru Naibu Rais William Ruto kusalimisha shamba la ekari 100 na kulipa $ 62,500 kwa Adrian Muteshi, mkulima ambaye alimshtaki kwa kuchukua mali hiyo baada ya ...