"Tumeweka wazi kwa Israel kwamba tunapinga kampeni ya mashambulizi ya anga ambayo imeanzisha wiki za hivi karibuni huko Beirut," msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Matthew Miller ...
Mke wangu tulipokutana alikuwa ni mwanamke mzuri sana tukazaa nae mtoto wetu wa kwanza wa kime Erick Mburu na tukapata mtoto wa pili wa kike Jane wairimu, lakini baada ya kupata watoto hawa ...
Israel inapanga kuanzisha operesheni ya ardhini dhidi ya Hezbollah nchini Lebanon. Rais Joe Biden amesema hatua za Marekani kuongeza kasi ya msaada kwa Ukraine zitatangazwa leo Alhamisi.
Maradhi ya njia ya mkojo (Urinary track Infections-UTIs), ni maambukizi ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakiyafananisha na maradhi ya zinaa. Hii ni kutokana na kwamba maambukizi haya hushambulia na ...
Kiongozi wa kiroho wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesifu hatua ya nchi yake kurusha makombora nchini Israel wiki hii, na kusisitiza kuwa Tehran na washirika wake, wataendeleza mashambulio hayo.
Wizara ya Mazingira ya Japani imeongeza tahadhari ya kitaifa ya mafua ya ndege hadi kiwango cha juu zaidi baada ya kirusi hatari cha mafua ya ndege kugunduliwa katika miji miwili huko mkoani ...
Ripoti ya chombo cha habari cha Palestina inasema mashambulizi ya anga ya Israel katika eneo la Gaza kaskazini yameua watu 22 na wengine 14 hawajulikani walipo. Ripoti hiyo inasema nyumba nne ...
Israel imetangaza mashambulizi mapya ya anga kwenye ngome za Hezbollah nchini Lebanon hii leo, siku moja baada ya watu 492, wakiwemo watoto 35, kuuawakatika mashambulizi mabaya zaidi ya mabomu ...